Maana ya Kutawadha Udhu katika lugha Uzuri na usafi
Udhu katika Sheria Kutumia maji kwenye viungo maalumu kwa nia ya kujitwahirisha
Hukumu ya kutawadha Kutawadha: ima ni lazima na ima inapendekezwa:
a. Ni lazima kutawadha kwa mambo matatu 1. Kuswali Mwenyezi Mungu U Anasema: {Enyi Mlioamini! Mnapo simama kwa ajili ya swala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni} [5: 6]
2. Kutufu Alkaba: Kwa kauli yake Mtume ﷺ kumwambia mwanamke aliye katika hedhi: (Usitufu mpaka utwahirike) [ Imepokewa na Bukhari.].
3. Kushika Msahafu: Kwa neno lake Mwenyezi Mungu U: {Hawaigusi isipokuwa wale waliotwahiriwa} [56: 79 https://www.al-feqh.com/sw/kutawadha